Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 15, 2017

Watu Maarufu duniani wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto.

Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia. 

Leo nimekutana na hii stori ya baadhi ya watu maarufu duniani wanaotumia au waliokwisha tumia mkono wa kushoto katika kuandika n.k

Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto:
 • Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama
 • Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
 • Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
 • Mwanamfalme William wa Uingereza
 • Msanii Angelina Jolie
 • Mwanasayansi Albert Einstein
 • Mwigizaji Tom Cruise
 • Mwanamuziki David Bowie
 • Mwanariadha Paula Radcliffe
 • Mwanakandanda Pele
 • Mwanaanga za juu Neil Armstrong
 • Mwanasayansi Marie Curie
 • Bondia Manny Pacquiao
 • Mwanaviwanda Henry Ford
 • Mwanamuziki Justin Bieber
 • Mwanamuziki Lady Gaga
 • Mwanamuziki Marshall Bruce Mathers III maarufu kama Eminem
 • Mwanamuziki Paul McCartney
 • Mwigizaji Jennifer Lawrence