Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 7, 2017

Viedo: Star wa Bongo Movie Lulu awafungukia wanaokopi.

Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael a.k.a Lulu amebainisha moja ya sababu ya zinazopelekea soko la filamu Tanzania (Bongo Movie) kushuka.

Akiongea na Bongo5, Lulu amedai kuwa wasanii wengi wamekuwa wanafuata upepo katika sanaa kwa kuona mtu mmoja amefanikiwa na wengine wanaiga wakidhani kuwa watafanikiwa pia.