Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 22, 2017

VIDEO: Shetta - 'Wale Wale'.

Msanii wa Bongo Flava, Shetta ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Wale Wale’ baada ya ukimya wa muda mrefu tangu atoe video ya wimbo uitwao Namjua.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao.