Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 7, 2017

Video nyingine: Rayvanny - "Chuma Ulete".

Msanii wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, na mshindi wa tuzo za BET, Rayvanny ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Chuma Ulete’, video hii imeongozwa na Eris Mzava.