Header Ads

Breaking News
recent

Usain Bolt afunguka baada ya kushindwa na Justin Gatlin mbio za M100 London

Usain Bolt afunguka na kusisitiza kuwa bado yeye ni mmoja wa wanariadha hodari katika historia licha ya kushindwa kwake na mmarekani Justin Gatlin katika fainali za mwisho za dunia katika mbio za M100 London.

Bolt, ambaye hivi karibuni atastaafu riadha baada ya relay 4x100m ijayo Jumamosi, amekuwa katika umakini mkubwa wa kushinda cheo chake katika michuano ya 12 ya dunia, inayoendelea London Uingereza.

Justin Gatlin amemshinda Usain Bolt katika mbio za mita 100 na kunyakua medali ya dhahabu, huku Bolt akiambulia medali ya Shaba.

Tazama hii video hapo chini, usisahau kuweka maoni yako>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.