Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 2, 2017

Wizara ya afya yatoa ufafanuzi wa habari inayoenea kuhusu unyonyeshaji kwa wamama nchini.

Wazara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto imetoa ufafanuzi kuhusu masaa ya kunyonyesha kwa mama aliyeajiriwa.