Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 8, 2017

Picha: Staa wa Tenesi Serena Williams akiwa na mastaa wenzake siku ya 'Baby Shower' yake.

Baada ya stori kuenea na picha za mkali wa mchezo wa Tenesi Serena Williams katika jarida moja akionesha ujauzito wake, sasa imefika siku ya 'Baby Shower, ambapo imewakakutanisha mastaa kibao.
Mastaa Ciara, La La na Kelly Rowland wamehudhuria Baby Shower ya Serena Williams iliyotakiwa uwe umavalia mavazi ya miaka ya 1950.
Mastaa wakiwa wametupia mitupio ya mwaka 50 kama ilivyo protokali ya Baby Shower yenyewe inavyotakiwa kuwa.
Karibu Asili Yetu Tanzania kwa stori kibao za mastaa kila siku.