Header Ads

Breaking News
recent

Anushka Sharma ndani ya filamu moja mpya na Shah Rukh Khan

Moja kati ya combination ambayo imekuwa ikiwavutia sana mashabiki wa filamu za kihindi sehemu nyingi duniani, ni hii ya Malikia wa Filamu Bollywood Anushka Sharma na Superstar Shah Rukh Khan - SRK kuonekana katika filamu moja.
Kwa historia iliyopo katika wakali hawa wawili katika movie walizowahi kukutana pamoja, imekuwa ni amazing, kwamfano movie ya Rab Ne Bana Di Jodi (2008), Jab Tak Hai Jaan (2012), Ae Dil Hai Mushkil (2016), zote hizi zilionekana kuwa na matunda japo ni zakushirikishwa kwa wakali hawa.
 Sasa safari hii baada ya mkali SRK kuachia filamu yake Raees mwezi Januari na kufanya vizuri, sasa ile combination inajirudia, namzungumzia Shah Rukh Khan na Anushka Sharma.
Agosti 4, 2017 mkali Shah Rukh Khan akimshirikisha mwanadada  Anushka Sharma ataachia filamu mpya inayokwenda kwa jina 'Jab Harry Met Sejal', nimatumaini yetu tunaisubiri kwa hamu kuona utamu wake kati ya hawa masuperstar.

Karibu ujiunge na blog yetu ya Asili Yetu Tanzania kwa update zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.