Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

July 11, 2017

Video: Vanessa Mdee Ft. Peter wa P Square - "Kisela"

Kwa mara nyingine tena nakusogezea hii ikiwa ni baada ya ukimya mwingi, staa wa Bongo Flava, Vanessa Mdee ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Kisela’ aliyomshirikisha Peter msanii kutoka kundi la P-Square kutoka Nigeria.

Chukua time itupie macho hapo chini>>>