Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

July 31, 2017

VIDEO: Mr Blue Ft. JR - "Siwezi".

Baada ya staa kutoka Bongoflevani Mr. Blue a.k.a Byser au Babylon Bizz kuiachia single yake mpya “Siwezi” iliyotayarishwa na Man Walter kutoka Combination Sound, tayari ameifanyia video na nimekuwekea hapo chini>>>