Header Ads

Breaking News
recent

Video: Diamond Platnumz - "Eneka"

Msanii maarufu wa miondoko ya Bongo Flava nchini maarufu kama Diamond Platnumz na mmiliki wa lable ya Wasafi Classic Baby, baada ya kuachia nyimbo kadhaa, sasa amedondosha video nyingine ya wimbo wa "Eneka".

Chukua time uutizame hapo chini>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.