Header Ads

Breaking News
recent

Salman Khan ataperfom kwenye tuzo za Big Zee Entertainment 2017

Kwa stori zilizovuja hadi sasa, ni kuhusu Bollywood Super Star Salman Khan kuperfome katika BIG Zee Entertainment Awards 2017.
 Mkali wa Sultan, Salman Khan atapanda stage na kufanya shoo katika Tuzo za Big Zee Entertainment
 
Ambapo chanzo kinasema kuwa Salman ataonyesha shoo katika awamu tatu na huku ya tatu ikionesha upande wake wa pekee kwa watazamaji katika sehemu ya mwisho, katika tuzo hizo.
Tuzo hizo zitashereheshwa na mwandaaji wa filamu Karan Johar na mwigizaji-mchekeshaji Sunil Grover.

BIG Zee Entertainment Awards 2017 itaoneshwa kwenye TV live tarehe 13 Agosti 2017.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.