Header Ads

Breaking News
recent

Priyanka Chopra star wa filamu za Kihindi ameungana na mkali kutoka Hollywood.

Moja kati ya stori kama wewe ni shabiki wa filamu za Kihindi, hii ya staa wa filamu kutoka katika kiwanda cha filamu Bollywood India, Priyanka Chopra baada ya picha hizi na kipande cha video kuvuja akionekana Location "New York City’s Central Park" nchini Marekani na staa wa Hollywood.
Wiki hii Staa Priyanka Chopra amekuwa location akishuti filamu yake mpya kutoka Hollywood inayoitwa "Isn’t It Romantic"? aliyomshirikisha staa wa hollywood Adam DeVine, picha unazoziona hapo niwakati wakiwa katika uigizaji.

Sasa chungulia hapo video iliyosemekana kuvuja wakati wanaigiza video hiyo>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.