Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

July 18, 2017

Movie mpya ya Sidharth Malhotra na Jacqueline Fernandez inayoitwa 'Gentelemen' kutikisa.

Hii inakuwa mara ya kwanza kwa mwanadada Jacqueline Fernandez na mkali Sidharth Malhotra kuigiza pamoja katika movie hii inayokwenda kwa jina la Gentlemen inayotarajiwa kuachiwa rasmi mwezi August 25th, 2017.

Sasa kama wewe ni shabiki wa movie za Kihindi, huu ndio mtonyo ambao unapaswa kuufahamu wakwetu, ambapo hiyo hapo juu ndio poster official ya Gentlemen.