Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

June 22, 2017

Video: I Miss You - Diamond Platnumz

Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB Diamond Platnumz ametusogezea burudani mpya kupitia wimbo wake wa ‘I miss You‘ ikiwa ni miongoni mwa video mpya za mwezi June, 2017 zitakazo ipa kampani siku yako imalizike uzuri.

Unaweza kuitizama hapa chini>>>