Header Ads

Breaking News
recent

Movie mpya ya Jackie Chan 2017, James Bond atinga ndani.

Baada ya mtaalamu na mkongwe wa movie za Kung Fun maarufu kama Jackie Chan kufanya poa na movie yake ya 'Kung Fu Yoga' aliyoigiza na wakali kutoka India, sasa nakusogezea hii stori kuhusu ujio mwingine wa movie yake mpya.
Jackie Chain ambaye atakutana tena uso kwa uso na Pierce Brosnan, ambaye amewahi kuigiza kama James Bond, utawaona katika muvi mpya inayoitwa ‘The Foreigner’ itakayo zinduliwa rasmi ifikapo Septemba 30 mwaka huu.
Jackie Chain na Pierce Brosnan, wamewahi kuigiza pamoja katika muvi kama vile 'Die Another Day', 'The World Is Not Enough'  na nyinginezo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.