Header Ads

Breaking News
recent

Kayumba ameachia wimbo - 'Msela' .mp3

Yule mkali aliyewahi kupata mchongo wa kwenda kurekodi wimbo Marekani chini ya usimamizi wa msanii mkubwa mchini humo Akon, namzungumzia Kayumba ambaye pia ameshawahi kuwa mshindi wa mashindano ya BSS 2015, sasa leo amekusogezea wimbo wake mpya.

Wimbo unaitwa 'Msela' na Producer ni Hunter, usikilize hapa>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.