Header Ads

Breaking News
recent

Download / Usikilize kipindi cha Hot 112 Radio Show sehemu ya tatu, matukio makubwa katika nusu ya mwaka 2017 yamezungumziwa.

Karibu tena usikilize kipindi cha Hot 112 Radio Show kinachosikika online yani kupitia mitandao mingi hapa Tanzania, kikiwa kimesheheni ubunifu wa kutosha, ambao kwa hakika hutoacha tena kukisikiliza.

Kipindi kimezungumzia matukio makubwa yaliyochukua headlines kuelekea nusu ya mwaka huu wa 2017, ikiwemo ile stori ya matajiri wa dunia, mawaziri, na wasanii.... karibu upakue au usikilize hapo chini, pia tunaomba msaada wako wa kushare kipindi hiki katika account yako ya mitandao ya kijamii.

Tembelea pia ukurasa wetu wa Facebook - HOT 112 RADIO SHOW

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.