Header Ads

Breaking News
recent

Hot 112 Radio Show inakukaribisha uzungumze na wananchi wako katika mahojiano/Interviews.

KIPINDI cha redio mtandaoni maarufu kama HOT 112 RADIO SHOW kinachofanya vizuri mtandaoini, kimetoa ofa ya wasanii, wajasiliamali, watoa elimu kwa jamii, wakulima, watu binafsi na wengineo kuzungumza na wananchi kupitia kipindi hichi cha HOT 112

Tumia nafasi hii uliyopewa kufikisha ujumbe kwa watu wako,unaweza kutuma ombi lako hapa, bonyeza hapa HOT 112 OFA kisha utainbox/ message yako ili uweke kwenye ratiba yao ya mahojiano.

Usomapo ujumbe huu mjulishe na mwenzio. Nyote mnakaribishwa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.