Header Ads

Breaking News
recent

Video ya Harmonize - "Niambie".

Mkali kutoka WCB anayefanya poa katika game ya muziki wa Bongo Fleva, sasa ana kuletea video yake mpya. Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Niambie’ baada ya kimya cha takribani miezi nane. Jacqueline Wolper ametumika kama model kwenye video hiyo.

Itupie macho hapo chini.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.