Header Ads

Breaking News
recent

Unachotakiwa kufanya endapo uking'atwa na mbwa mwenye kichaa cha mbwa.

Mbwa ni mnyama anayefugwa nyumbani, huku akitumika kwa ulinzi wa mali na familia kwa ujumla, mbwa ni rafiki wa binadamu na hata wengine kuwafanya kuchukua nafasi kubwa katika familia kama watu vile.

Lakini kwa afya bora na salama, mbwa huhitaji kila baada ya muda kuwapa chanjo kama wataalamu wa wanyama wanavyo shauri, lakini wakati mwingine maradhi mabaya hutokea kwa mbwa hasa wale wasio pewa chanjo.

Ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni hatari sana kwa binadamu endapo mbwa huyo akikung'ata, sasa kupitia kipindi cha HOT 112 umepewa njia mbadala utakazofuata endapo ukiumwa na mbwa mwenye kichaa cha mbwa.

Sikiliza hapo chini.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.