Header Ads

Breaking News
recent

Mitandao 15 ya kijamii inayo ongoza kwa kuwa na watumiaji wengi duniani

 Moja ya vitu vinavyofanya dunia kuwa kijiji ni mitandao ya kijamii jinsi inavyofanya kazi ya kuunganisha watu wa mataifa mbalimbali duniani. Huenda pia wewe ukawa ni mmojawapo ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kila wakati.

Sasa leo nimekutana hii story inayoonyesha orodha ya mitandao 15 yenye watumiaji wengi zaidi duniani.

Dream Grow wametoa orodha ya mitandao 15 maarufu na yenye nguvu zaidi duniani kote pamoja na idadi ya watumiaji wake kwa idadi ya kila mwezi, huku data zake zikiwa zimetumia idadi halisi kutoka kwenye mitandao yenyewe. 

Orodha hii imejumuisha mitandao yote mikubwa inayotumika sehemu nyingi duniani na ile ya Marekani pekee.

Facebook imetajwa kuongoza kwenye list ikifuatiwa na Youtube, Instagram na Twitter.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.