Header Ads

Breaking News
recent

Kombe la FA: Manchester United yaaga FA Cup Stamford Bridge.

Manchester United yaaga FA Cup Stamford Bridge, Vinara wa ligi ya EPL, Chelsea jana wameifunga Manchester United kwa goli 1-0 katika nusu fainali iliyochezwa kwenye uwanja wa Stamford Bridge.

Bao pekee la ushindi la Chelsea lilifungwa na N'golo Kante kwa mkwaju mkali katika dakika ya 51.
Dakika ya 35 mchezaji wa Man U, Ander Herera alionyeshwa kadi mbili za njano na kuwa nyekundu na kutolewa nje baada ya kumchezea rafu Eden Hazard.

Chelsea watakutana na Tottenham katika mchezo wa nusu fainali utakaochezwa tarehe 22 mwezi Aprili kwenye uwanja wa Wembley. Nusu fainali nyingine ni kati ya Arsenal watakaocheza na Manchester City Aprili 23.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.