Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

February 4, 2017

Video: Chege Ft. Nandy - "Kelele za Chura".

Msanii wa muziki Chege Chigunda ameachia video ya wimbo wake mpya, Kelele Za Chura akiwa amemshirikisha Nandy

Video imeandaliwa na Wanene Films chini ya director Destro.