Header Ads

Breaking News
recent

Top 5 ya waigizaji wakali wa kike kutoka Bollywood India wanaoingiza mamilioni.

Hii ni moja kati ya stori ambayo sipendi uikose wakwetu shabiki wa filamu za kihindi kutoka katika kiwanda cha filamu Bollywood India.

Waigizaji wa kike kutoka India ni moja kati ya mastaa muhimu sana katika filamu na hata muziki unaotoka nchini humo. 

Na kingine ambacho unatakiwa kukifahamu kuhusu waigizaji wa kike kutoka Bollywood India kinachowaongezea umaarufu na mkwanja, wanavipaji zaidi ya kimoja tofauti na mastaa wetu, tulivyozoea.
Wao wanafanya filamu na ni wasanii wa muziki pia, hivyo wanauwezekano mkubwa wa kutengeneza mkwanja mrefu zaidi.

Hapa nakusogezea mastaa watano hot wa kike wanaotengeneza mamilioni ya pesa katika tasnia ya filamu Bollywood India.

1.  Deepika Padukone
Deepika ni muigizaji wa kike mrembo muda wote na anayelipwa mkwanja mrefu zaidi katika kiwanda cha filamu Bollywood India.
2. Katrina Kaif
Katrina Kaif ni mmoja ya waigizaji wenye mvuto na anayeingiza mkwanja mrefu zaidi katika tasnia ya filamu India.
3. Kareena Kapoor Khan
Kareena Kapoor Khan ni muigizaji wa filamu mtamu sana katika uigizaji na anayeingiza mamilioni ya pesa Bollywood. Kareena juzi kati aliingia katika ndoa.
4. Priyanka Chopra
Priyanka Chopra ndiye staa wa kike anayefuata katika orodha hii ya waigizaji wa kike wanaoingiza pesa nyingi katika tasnia ya uigizaji India. Mbali na kua mrembo na mcheza filamu, Chop pia amejizolea umaarufu kupitia sanaa ya muziki, kwamfano wimbo wa ‘In my city’ aliotoa mwaka 2012.
5. Katrina Kaif
Namba 5 katika orodha hii inashikwa na mtoto mzuri au
British diva 'Katrina Kaif'  ambaye mwaka huu anatimiza miaka 31, ameigiza movei nyingi sana zilizomuingizia mkwanja mrefu na kuzidi kuwa maarufu zaidi. Katrina alizaliwa Hong Kong.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.