Header Ads

Breaking News
recent

Maajabu ya Nicotin kwa mvutaji wa sigala.

Watu wengi sana duniani kote huvuta sigala, hasa nchi zenye baridi au wakati wa majira ya baridi, wapo wasiojua madhara ya utumiaji wa sigala. Lakini le nimekutana hiii ya Nikotini mwilini kwa mvutaji wa sigala, endelea hapo chini....

Kila pafu moja la kwanza analovuta mvutaji wa sigala, nikotini husafiri kwa haraka zaidi hadi kwenye ubongo, ndani ya sekunde 10.

Nikotini husababisha kuongeza mapigo ya moyo tofauti na kawaida, shinikizo la damu, ugonjwa wa mapafu n.k.

Fanya maamuzi sahihi leo, shinda kiu ya sigala na ishi ndoto zako.

Karibu ufuatilie kipindi cha HOT 112 RADIO SHOW.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.