Header Ads

Breaking News
recent

Download sehemu ya pili ya kipindi cha 'HOT 112 RADIO SHOW' utapata furaha ya moyo wako leo.

Kile kipindi chako cha Radio cha "HOT 112 RADIO SHOW" kilichosheheni vitu amazing kutoka pande zote za dunia na kinachokujia siku za wiki, sasa karibu usikilize/download sehemu ya pili ya kipindi cha "HOT 112 RADIO SHOW" (Episode 2), utasikia pia utofauti kati ya mzazi wa kizungu na mzazi wa kibongo the way wanavyo waelekeza watoto katika maisha ya kukua... Sikiliza hapo chini....
Kumbuka kulike ukurasa wetu wa Facebook "HOT 112 RADIO SHOW" ili kupata updates mbali mbali, pia unaweza kutoa maoni yako hapo. 
Na kwa wale wasanii, kuhusu Interview na nyimbo zenu tutumie ujumbe wako pale tukupe muongozo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.