Header Ads

Breaking News
recent

Exlusive: Sasa Download bure kipindi cha kwanza cha Radio - 'HOT 112 RADIO SHOW Episode 1' kipindi kitakacho teka watumiaji wa kiswahili duniani kote.

Nikujuze kuwa sasa wale wadau wa vipindi vya Redio na mashabiki wa mtangazaji mahiri wa Radio Tanzania 'Victor Machota' maarufu kama Chota Boy, Wakwetu, Masawe Sioni Mbele, Hapana Neno Mbayaa n.k amekuletea Episode ya kwanza ya Kipindi cha HOT 112 RADIO SHOW.

Kipindi hiki utakuwa unakisikiliza na kudownload pia kupitia blogs mbali mbali za hapa Tanzania kama vile Kiwale 11 blog na Wazalendo 25 blog.

Pia unaweza kutembelea ukurasa wake wa Facebook 'HOT 112 RADIO SHOW' kutuma salamu zako na maoni yako na kuhusu salamu tutazisoma katika kipindi chetu kijacho.

Sasa sikiliza na download hapo chini na unaweza kumpatia rafiki yako mtaani akafurahia na kusanuka vitu vingi.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.