Header Ads

Breaking News
recent

Video: Movie ya 'XXX The Return of Xander Case' iliyochezwa na mastaa kibao.

Wakwetu kama wewe ni mpenzi wa movies, basi acha nikutonye kuhusu hii movie mpya ya XXX The Return of Xander Case iliyochezwa na mastaa kibao kutoka Hollywood na Bollywood, ambayo pia Trella imekwisha gonga mitandaoni, huku January 20, 2017 utaipata yote..
Release date: January 20, 2017 (USA)
Director: D. J. Caruso
Film series: xXx Film Series
Distributors: Paramount Pictures, Columbia Pictures

WALIOCHEZA MOVIE HII
 Deepika Padukone, Vin Diesel, Nina Dobrev, Ruby Rose
Sasa tupia macho trella hii....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.