Header Ads

Breaking News
recent

Video + Audio - Eddy Kenzo Ft. Alaine - "Addicted". Download .Mp3

Msanii kutoka Uganda na BET Award winner anayezichukua headline kila mara kutokana na muziki wake kuzikonga nyoyo za watu hasa video zake, Edirisa Musuuza maarufu kama Eddy Kenzo, anajivunia kucollaborate na msanii wa Reggae na mwandishi mashairi ambaye ni Mjamaika Mmarekani , Alaine.

2017 anakuletea wimbo huu “Addicted”,ukisindikizwa na video, ucheki hapo chini.....
AUDIO - Download

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.