Header Ads

Breaking News
recent

Top 10 ya hotel za ghali kulala duniani kwa mwaka 2017.

10. BURJ AL ARAB - DUBAI at $17,500 kwa usiku mmoja tu.
Wakwetu kuna hotel nyingi sana duniani, lakini kila moja inaubora wake, yani aina ya huduma inayotolewa na utimilifu wake pamoja na gharama zake. Sasa leo nimekutana na hii ya hotel 10 ghali duniani kwa mwaka 2017.
   9. HOTEL PLAZA ATHENÈE - FRANCE kwa $27,000 kwa usiku mmoja tu.
Hotel inapatikana Ufaransa katika mji wa Paris
    8. PALMS CASINO RESORT - LAS VEGAS, NEVADA kwa $35,000 kwa usiku mmoja tu.
    7. GRAND HYATT CANNES HOTEL MARTINEZ - CANNES, FRANCE kwa $35,700 kwa usiku mmoja tu.
 6. GRAND RESORT LAGONISSI ROYAL VILLA - ATHENS, GREECE kwa $40,000 kwa usiku mmoja tu.
    5. LAUCALA ISLAND RESORT HILLTOP ESTATE kwa $40,000 kwa usiku mmoja tu.
    4. RAJ PALACE HOTEL-PRESIDENTIAL SUITE, JAIPUR kwa $43,000 kwa usiku mmoja tu.
Hotel hii ya kifahari inapatikana nchini India, ambapo majengo haya yanasemekana kuwa na karne 2.5 na majengo haya yalijengwa mwaka 1727, hadi sasa hotel hii imekwisha tunukiwa tuzo kem kem.
    3. FOUR SEASONS HOTEL, NEW YORK kwa $50,000 kwa usiku mmoja tu.
Hotel hii ya kifahari na ghali duniani, ilianzishwa mwaka 1989.
    2. HOTEL PRESIDENT WILSON, GENEVA, SWITZERLAND kwa $65,000 kwa usiku mmoja tu.
Hoteli hii iko katika mji wa Geneva na Nevada ikiwa iliitwa jina la rais wa awamu ya 28 wa Marekani, Woodrow Wilson. Hotel ina vyumba 12 na ghorofa 8, huku kati ya watu maarufu waliokwisha lala hapo ni Bill Clinton.
    1. LOVER’S DEEP, ST. LUCIA kwa $150,000 kwa usiku mmoja tu.
Hii ndio hotel ghali sana katika orodha hii, ambayo inapatika chini ya bahari na ni maarufu sana kwa wapendanao kutulia na kula maisha huku wakiangalia viumbe wa baharini, wenye kipato cha kati kufika hapa ni historia.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.