Header Ads

Breaking News
recent

New song: AY Ft. Nyashinski - "More and More". mp3


Mwaka huu 2017 mwanzoni msanii wa kitambo katika gemu la muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya a.ka AY anaachia  kazi mpya na ya kwanza iitwayo More and More ambamo amemshirikisha staa wa Kenya, Nyashinski

Ngoma imetayarishwa kwa ushirikiano wa Drey Beatz na Hermy B.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.