Header Ads

Breaking News
recent

Nchi 15 ambazo wafanyakazi wake hulipwa ujira mdogo zaidi duniani.

Bado rekodi mbali mbali zinazidi kugonga vichwa vya habari duniani, huku mapya yaliyojificha yakizidi kufunuka. 

Ni wazi kila mmoja wetu anandoto ya kupata faida mara dufu kulingana na kile anachokifanya, japo wakati mwingine ndoto zinaweza kutimia robo au nusu na pengine zote.

Leo nakuletea hii orodha ya nchi ambazo zina mishahara midogo, zaidi huku ikitajwa fedha ambayo mtu anaikusanya kwa mwaka mzima....
15. Madagascar $490 sawa na takribani Tsh 1,102,500 kwa mwaka 

14. Ghana $488 sawa na takribani Tsh 1,098,000 kwa mwaka 

13. Tajikistan $487 sawa na takribani Tsh 1,095,750 kwa mwaka

12. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo$472 sawa na takribani Tsh 1,062,000 kwa mwaka
11. Liberia$435 sawa na takribani 97,8750 kwa mwaka

10. Malawi$412 sawa na takribani Tsh 927,000 kwa mwaka

9. Guinea-Bissau$372 sawa na takribani Tsh 837,000 kwa mwaka 

8. Venezuela$361 sawa na takribani 812,250 kwa mwaka 

7. Gambia$317 sawa na takribani Tsh 713,250 kwa mwaka

6. Tanzania$240 sawa na takribani Tsh 540,000 kwa mwaka

5. Bangladesh$228 sawa na takribani Tsh 513,000 kwa mwaka

4. Kyrgyzstan$181 sawa na takribani Tsh 407,250 kwa mwaka

3. Cuba$108 sawa na takribani Tsh 243,000 kwa mwaka

2. Georgia$96 sawa na takribani Tsh 216,000 kwwa mwaka

1. Uganda$22 sawa na takribani Tsh 49,500 kwa mwaka

Source: therichest.com

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.