Header Ads

Breaking News
recent

Forbes imetoa Orodha ya wanamichezo 20 wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani.

Moja kati ya stori iliyochukua headlines ni hii ya star wa soka duniani Christiano Ronaldo kutangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2016, huku Jarida la maarufu duniani la Forbes nalo likidondosha wanamichezo 20 wa muda wote wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani. 

Tupia macho orodha yote ya wakali hao wa soka hapo chini...

1. Michael Jordan (£1.35 billion)

 2. Tiger Woods (£1.31 billion)

3. Arnold Palmer (£1.07 billion)

 4. Jack Nicklaus (£914 million)

5. Michael Schumacher (£794 million)

6. Kobe Bryant (£612 million)

7. Floyd Mayweather Jr. (£608 million)

 8. Phil Mickelson (£604 million)

 9. David Beckham (£580 million)

 10. Shaquille O’Neal (£556 million)

11. Mike Tyson (£544 million)

12. Greg Norman (£540 million)

13. Lebron James (£508 million)

 14. Cristiano Ronaldo (£493 million)

15. Roger Federer (£477 million)  

16. Alex Rodriguez (£477 million)

17. Lionel Messi (£413 million)  

18. Jeff Gordon (£409 million)  

19. Oscar De La Hoya (£405 million)

20. Manny Pacquiao (£389 million)

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.