Header Ads

Breaking News
recent

Barabara ya kwanza ya nishati ya umeme wa jua yazinduliwa huko Tourouvre Ufaransa.

Wanasayansi duniani kote bado wanatafuta suluhu ya kurahisisha vitendea kazi kwa binadamu, hali inayoleta wepesi wa maisha na kuacha ushindani ukitawala katikati yao.

Sasa najua wakwetu umezoea kuona sola juu ya mapaa ya nyumba au hata nyingine kuwekwa juu ya kitu ili kuweza kupata mwanga wa jua kiurahisi, nimekutana na hii stori ya barabara ya sola, sipendi ikupite icheki hapo chini....

Barabara ya kwanza iliyotandikwa paneli za kuzalisha umeme kwa nishati ya jua imezinduliwa huko Tourouvre Ufaransa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.