Header Ads

Breaking News
recent

Katika Maisha kama unampenda mtu, huwezi kumuacha hata iweje.

Katika maisha kuna mambo mengi yanayopelekea mtu na mtu kuhitirafiana hadi kufikia kutengana na kufikiria kumfanyia vitu vibaya mwenzio. Lakini hiyo sio njia pekee ya kuweza kumaliza mgogoro katika mahusiano ya aina yoyote.

Kitu cha msingi katika migogoro huwa ni kuzingatia upendo wa awali na kujishusha kwa mwenzio, hata wakati mwingine akiwa yeye ndio amekosa na hataki kukiri kuwa amekosa, basi jishushe na kunawakati nafsi itamsuta na kujihisi mkosaji.

Hivyo tupo katika dunia yenye changamoto nyingi, jifunze kutokulipa mabaya, na sii vizuri pale mtu anapokuwa amekukosea, ukaondoka na kumuacha, mpe msaada pale anapokuwa amefikwa na matatizo, kwani hata Mwenyezi Mungu atakubariki zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.