Header Ads

Breaking News
recent

Top 10 ya miji bora zaidi Duniani kwa kuishi imetolewa.

Economist Intelligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani ambayo ni bora na inafaa zaidi kushi kwa 2016. Bilashaka ungependa kujua ni miji gani iliyoingia top 10 na kuwa bora zaidi ya maelfu ya miji duniani......

Ripoti ya utafiti huu imetolewa August 18, 2016 ambapo utafiti ulizingatia mambo 30 ambayo yanayohusisha usalama, huduma za afya, rasilimali za elimu na miundombinu. Ripoti imeonyesha kwa mwaka wa sita mfululizo, mji kutoka Australia umeongoza kwenye miji bora zaidi kwa kuishi Duniani. 

Aidha ripoti hiyo imeonyesha mji wa Lagos, Nigeria umekuwa nafasi ya tatu Duniani ya miji mibaya kwa kuishi.

Hii ndio miji bora duniani kwa kuishi iliyotajwa...

10. Hamburg, Germany
9. Helsinki, Finland
8. Auckland, New Zealand
7. Perth, Australia
6. Adelaide, Australia
5. Calgary, Canada
4. Toronto, Canada
3. Vancouver, Canada
2. Vienna, Austria
1. Melbourne, Australia

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.