Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

August 16, 2016

SAYANSI NA TEKNOLOJIA: TATOO INAYOWEZA KUTUMIA SIMU YAKO.

 Tattoo hizi zinaweza kutuma  na kupokea taarifa, kuunganisha wireless na smartphone kupitita NFC ambayo ni aina ya teknolojia inayotumika kwa ajili ya malipo kwa njia ya simu aidha inatumia betri inayoitwa Lithium polymer.
 Tupia macho video hii hapo chini.....