Header Ads

Breaking News
recent

Mwanamke atembea nusu mtupu akiwa amechorwa nguo mwilini na hakuna aliyegundua mara moja kitendo hicho (kipaji tu cha sanaa ya uchoraji)

Mwanamke mmoja amewashangaza watu wengi baada ya kutembea kwa siku nzima akiwa amevaa michoro tu ya rangi mwilini kwake.
Julie alijijitolea mwili wake uchorwe rangi kama nguo, ilihali akiwa ametupia tu kufuli  na kwingineko mtupu, jambo ambalo watu wengi hawakushtukia kitendo hicho, hadi pale alipowaambia mwenyewe.

Mwanadada huyo aliyejulikana kama Julie alikutana na mikono ya mchoraji mahiri kwajina Pashur House mtaalam wa kuchora miili ya watu, na kuanza kumchora mwili wake akiwa amevalia tu kufuli. Julie anasema >>> "Nilivaa mchoro wa nguo tu mwilini mwangu kwa siku nzima".
Tazama vieo nzima hapo chini ujionee maajabu.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.