Header Ads

Breaking News
recent

MAAJABU SABA HUENDA HUKUWAHI KUYAFAHAMU.

 Nikiwa katika shughuli zangu za kiuandishi nimekutana na jarida la Mali Hai News, sio mbaya nikakumegea maajabu saba ambayo huenda hukuyatilia maanani:-
 1. Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Saanane - ndio hifadhi ya Taifa iliyo ndogo kuliko zote nchini Tanzania.

Kisiwa cha saanane
2. Hifadhi ya Taifa ya Kitulo - ndio hifadhi ambayo inayojulikana kama "Bustani ya Mungu" kwa wenyeji au Serengeti ya maua kwa wataalamu wa mimea.

3. Nyangumi - ndiye mnyama mkubwa kuliko wanyama wote duniani.

4. Ziwa Tanganyika ndilo ziwa lenye kina kirefu zaidi kuliko yote duniani.


5.  Blue Violate -  Ni mmea wa maua ambao ni pekee unaopatikana kwenye Tao la Mashariki la Mlima na uko hatarini kutoweka.

6. Pori la akiba la Selous ndilo eneo la hifadhi lililo kubwa kuliko vyote nchini Tanzania na Afrika na ni lapili kwa ukubwa duniani.

7. Tanzania kuna maeneo matano ya hifadhi ya bahari.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.