Header Ads

Breaking News
recent

NAY WA MITEGO - "NYUMBANI KWETU. (Download mp3)

Kutoka kwa  Nay Wamitego. Anakuletea Wimbo mpya unaoitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Jipakulie hapa....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.