Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO: YEMI ALADE, VANESSA MDEE, VICTORIA KIMANI, WAJE - "STRONG GIRL"..

‘Strong Girl‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini kwa wasichana na wanawake katika jamii. Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye wimbo huo ni pamoja na Vanessa Mdee (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), Waje (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria), Semor Mtukudzi (Zimbabwe), Gabriella (Mozambique), Arriele T (Gabon) na binti... The post Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade pamoja kwenye hii Video…

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.