Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

April 27, 2015

VIDEO: JOH MAKINI - "NUSU NUSU".

Video mpya ya wimbo wa Joh Makini ‘Nusu Nusu’ iliyofanyika nchini Afrika Kusini. Wimbo umetayarishwa na Nahreel. Kwenye video hii wanaonekana Jux, G-Nako, Shettah na Nahreel.
.