Header Ads

Breaking News
recent

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WATAJWA KATI YA WATU 100 WENYE USHAWISHI MKUBWA DUNIANI.

 Jarida la TIMES limetoa orodha yake ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani ambapo wanandoa maarufu KANYE WEST na KIM KARDASHIAN ni miongoni mwa mwatu hao waliochapishwa na na Jarida hilo.

Baadhi ya watu wamejikuta wakiingiwa na hofu kwa ushiriki wa wanandoa hawa, lakini ushawishi limekuwa ni neno ambalo linashindwa kutofautisha chanya au hasi, na kutokana na kiasi cha vyombo vya habari peke yake kuwazungumzia mastaa hawa, wao pia wanatakiwa kuwa na ushawishi mkubwa juu ya idadi kubwa ya watu.
 Je kwa upande wako wakwetu, unasemaje kuhusu mastaa hawa, wamechaguliwa kwa mazuri yao au mabaya?

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.