Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

March 12, 2015

Linex Ft. Diamond Platnumz - "SALIMA". MP3

LINEX akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "SALIMA" ambao leo hii ameuachia katika media mbalimbali.
Bonge la wimbo mtamu ambao wote wametulia katika utamu wa SALIMA, naamini utaufurahia pia hapa....