Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

March 5, 2015

FID Q - "BONGO HIP HOP" (Video)

Kama ulikuwa hujatupia macho video mpya ya "BONGO HIP HOP" ya msanii wa Hip Hop maarufu kama FID Q, ambapo director wa video akiwa NISHER, basi nimekuwekea hapa....