Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

February 4, 2015

WIMBO MPYA WA NIKKI WAPILI "SAFARI" ALIOWASHIRIKISHA WASANII 6, WANUKIA.

Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa pili baada ya kuingia studio kufanya collabo na wasanii sita kwenye single yake mpya akiwemo, Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee, na Jux, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameteas kava ya single hiyo mpya iitwayo SAFARI na kuwahabarisha mashabiki kuwa single hiyo mpya inatarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 6 mwezi huu.