Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 11, 2015

VIDEO: FLAVOUR Ft. CHIDINMA - "OLOLUFE".

Flavour wa Nigeria ametoa video yake mpya ‘Ololufe’ ambayo amemshirikisha muimbaji wa kike wa Naija pia, Chidinma ambaye kwenye video hiyo amecheza pia kama mpenzi wa Flavour.