Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

February 6, 2015

NIKKI WA PILI Ft. JOH MAKINI, G NAKO, NAHREEL, AIKA, JUX & VANESSA MDEE - "SAFARI". (Download mp3)

Nick Mweusi a.k.a Nikki wa Pili tayari amekuletea wimbo wake mpya unaoitwa "SAFARI". Ngoma imerekodiwa Industry Studio chini yaproducer Nahreel na ndani wameshirikishwa Joh Makini, Aika G-Nako, Vanessa, Mdee, Jux na Nahreel.