Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 15, 2015

VIDEO: MWANA FA Ft. ALI KIBA - "KIBOKO YANGU"

Hii ni video mpya ya msanii Hamisi Mwinjuma a.k.a MWANA 'FA' itwayo "KIBOKO YANGU" aliyomshirikisha Ali Kiba.Video imetayarishwa na director Kelvin Bosco wa D.M.P FILMS.